Jumatatu, 27 Januari 2014

VIDEO YA SNURA NIMEVURUGWA YAPIGWA STOP KURUSHWA KATIKA VITUO VYA TELEVISHENI BONGO.
Baraza la sanaa  la Taifa lakataza video ya mwana dada Snura kurushwa katika vituo vya televisheni tanzania kutokana na maadili ya video hiyo.Mwanadada Snura ashangaa na kusema haoni sababu ya kukataliwa kurushwa kwa video yake.iiiiiiii ni noma ngoja tuendelee kumfuatilia Snura tuone kama atabilisha video au lah.halaaaaaaaa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni