Jumatatu, 27 Januari 2014


DIAMOND




                               AHAAA NA NDIO MAANA KWENYE KIGOMA ALL STAR ALI KIBA  HAKUWEPO.

Wasanii wa bongo fleva Nasibu Abduli na Ali kiba wagombana vibaya mno eti kisa ni nani zaidi ya mwenzake katika hii tasnia ya muziki wa kizazi kipya.Hii ni baada ya Ali kiba kuongea twitter kwa hawezi kufanya kazi na msanii mbovu kam diamond.Diamond akajibu kwa kusema ali kiba amekwisha hivi sasa na watu wamemchoka hii ni tym yangu diamond watuache tulale hayo ndio maneno ambayo diamond aliyasema kumjibu Ali kiba.mh hawa watu bana vituko kweli ngoja tuone wataishia wapi na hili bifu lao.halaaaaaa ni hayo 2 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni