jambazi laua watu nane mara {mkoa wa polisi rolya} haya tena Kova vipi baba ujambazi tumeshindwa kuuishinda kama ulivyosema tuungane kuushinda ujambazi,hii inaleta wasiwasi kama wameanza kuuwa ma askali na wakati mtanzania wa mwanzo hakuwa hivyo.Alikuwa na uwaga debe mbele ya viombo vya dora.Kova all eyes on you
JAMANI TUMUOGOPE MUNGU HUYU NI BINADAMU KAMA WEWE?YAANI KAMA DHAMBI ZINAZUNGUKA KAMA FENI KUNA WATU ZAO ZINAZUNGUKA KAMA PROPELA YA GARI,TAZAMA HIZO PICHA ZA WALEMAVU WA NGOZI.
AYOOOOOO MASHOGA YANAOANA HAYANA HATA AIBU KHAA
CHEKI MAJITU NYENYE LAANA HAYO HAPO JUU
BIG UP KITAA MITINDO HURU MNAFANYA POA XANA MA NEWS MANINI DAH POA MY NAME IS KICK GONA
R.I.P NELSON WEWE NDO JEMBE LA MWISHO ULIKUWA UMEBAKI AFRICA,OK LETS SAY BYE COUSE THIS WORLD IS NOT OUR HOME
OMMY DIMPOZ AACHIA NGOMA MPYA IITWAYO MISS KOIKOI.HIVYO NI TYME YAKO WE MDAU KUJUA DIMPOZ KARUDI VIPI TENA?AKOSEAGI HUYO
MSANII WA BONGO MUVI AFARIKI DUNIA
Ni victor peter akutwa guest akiwa amejinyonga katika guest inaitwa SAFARI JURNIO ilioko maeneo ya kisosora hapa picha unaiona ni katika harakati za kuupakia mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali mkoani tanga.habari za kustajabisha eti ya kwamba walikuwa wamemaliza kushuti filamu jana yeye akiwa kama muhusika mkuu na filamu ilimalizika kwa marehemu kufa kwa kujinyonga na ndivyo ilivyokuja kutokea kweli.kumbe tunaonaga kifo eeh.














Hakuna maoni:
Chapisha Maoni