Mwana mama Kida wadhili wa jazz band atangaza kurudi tena kwenye muziki sasa.
Ni leo tar 27 jan 2014 katika viwanja vya basata jijini dar es salaam mwana mama huyo ambaya pia alikuwa mke wa mwanamuziki maarufu sana tanzania nchini tanzania bwana Ahmed maneti ambaye kashatangulia mbele za haki mungu tunakuomba mlaze pema peponi.Mwana mama Kida wadhili alitoa historia yake leo iliyomfanya atoe machozi kutokana na uchungu.Mwana dada huyo asimulia kwamba alishatengwa na waimbaji wenzake kwa kusemekana kwamba ana virusi vya ukimwi na hata kuthubutu kukataliwa kupanda jukwaani pale jazz band walipokuwa wakipafomu,hii hali ilimpelekea kupata magonjwa kama presha ya kushuka na nusura kupoteza maisha kabisa.leo ameongea mengi sana ukiwepo ugeni wa watu kama Afisa utamaduni Mwingereza kutoka basata,immanueli Nyoni kutoka Udom na wageni wengineo wengi,leo mwana mama aliweza kuwaburudisha wapenzi wake kwa nyimbo kama mazoea,maneno ya mawifi na nyinginezo nyingi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni