Jumatano, 29 Januari 2014

HIVI NDIVYO BASI LA MTEI LILIVYO KUWA LINAWAKA KWA MOTO HUU MKUBWA BAADA YA KUCHOMWA

 
  
Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.
Home »  » Picha Zikionesha Jinsi Shekhe Sharifu Alivyoteka Umati wa Watu Mjini Tabora kwenye Mkutano wake

Picha Zikionesha Jinsi Shekhe Sharifu Alivyoteka Umati wa Watu Mjini Tabora kwenye Mkutano wake


Umati mkubwa uliokuwa ukimsindikiza Sheikh Shariff Mikidadi kutoka viwanja vya Uyui Sekondari eneo ambalo lilikuwa likifanyika Kongamano la dini ya kiislamu kuelekea nyumbani kwao Kiloleni manispaa ya Tabora ulisababisha barabara kadhaa kufungwa kwa muda kutokana na wingi wa watu katika msafara huo ambao wake kwa waume walikuwa wakimshangilia Sheikh Shariff kwa kutaja jina la MwenyeziMungu.Sheikh Shariff alijikuta akitokwa na machozi ya furaha kwa kuona namna watu wanavyomthamini na kumpenda pasipo kujali dini zao.


Licha ya kuwa giza lilianza kuingia umati huu mkubwa wa watu waukujali suala hilo na hivyo kuliona giza kama mchana kweupe, wakalazimika kutembea kwa umbali mrefu kutoka katika viwanja vya Uyui Sekondari hadi nyumbani kwao Sheikh Shariff. .


Watu wengi walihitaji kushikana mkono na Sheikh Shariff lakini haikuwa rahisi kutokana na wingi wa watu,wapo waliobahatika kufanya hivyo na kuamini kuwa wamepata neema ya pekee ya mkono wa baraka wa Sheikh Shariff Mikidadi. 


Awali Sheikh Shariff wakati akimalizia na kufunga Kongamano hilo la mwaka 2013 hapa mkoani Tabora alisoma Dua maalumu kuwaombea watu wenye shida na matatizo mbalimbali ambapo idadi kubwa ya watu walianza kuanguka chini wakiwa wamepandisha mashetani jambo lililoshangaza wengi katika Kongamano hilo lililofanyika kwa muda wa siku tatu.


Sheikh Shariff Mikidadi ambaye ni mzaliwa wa kata ya Kiloleni manispaa ya Tabora alikuwa akitumia muda mwingi kuwaasa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano lakini kubwa zaidi ni kumcha MwenyeziMungu.


Mmoja kati ya viongozi wa dini ya Kiislam nchini Afrika Kusini Sheikh Salim Dede ambaye anatokea taasisi ya kimataifa ya Islamic Propergation Centre naye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliofikisha ujumbe katika Kongamano hilo lililoandaliwa na taasisi ya SHEIKH SHARIFF MUSLIM FOUNDATION ambalo litakuwa likifanyika kila mwaka nchini Tanzania na nje ya Tanzania.


Umati mkubwa ukiwa umetulia kusikiliza mawaidha ya dini ya kiislamu katika Kongamano hilo.


Sheikh Shariff Mikidadi akiwa jukwaani akitoa mawaidha katika Kongamano hilo lililofanyika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui mjini Tabora.


Baadhi ya wanawake wa kiislamu walikusanyika kwa wingi katika Kongamano

UTAMU WA MKE WA MTU BALAA..USIOMBE HILI LIKUKUTE ACHA KABISA MCHEZO HUU




Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu......

FARU ALIVYO UWAWA KIKATILI HUKO SERENGETI

Faru akiwa ameuawa mbugani.
Kasi ya ujangili imeendelea kuleta hofu dhidi ya rasilimali nchini, baada ya juzi majangili kuua faru aitwaye ‘Mama Serengeti’ na kumng’oa pembe zake katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Aidha, kundi jingine linalosadikiwa kuwa la majangili, likiwa ndani ya Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro lilivamia basi la abiria na kuwapora wasafiri fedha na mali zao juzi alasiri.
Kutokana na hali hiyo, Serikali jana alfajiri ilituma kikosi maalumu cha askari 20 wenye silaha na vifaa maalumu vya kupambana na ujangili ili kuongeza nguvu na kuhakikisha majangili hao wanatiwa mbaroni.
Hayo yamethibitishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza kuwa, hali ya ujangili nchini ni mbaya na kwamba, kwa namna yoyote ile Serikali itapambana na vitendo hivyo vya uhujumu uchumi vinavyofanywa dhidi ya rasilimali za Taifa.
“Tumeagiza kila gari ama mtu anayeingia na kutoka katika hifadhi ya Serengeti na Ngorongoro apekuliwe, ikiwa ni sehemu ya kuwasaka wahalifu, tahadhari imetolewa kwa mwananchi yeyote kutoa taarifa zinazohusu wageni na watu wanaotiliwa shaka, tuna taarifa ya raia watatu wa nchi moja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hivyo kuonesha dalili kuwa mtandao wa kuua faru ni mkubwa,” alisema Nyalandu.
Akielezea ilivyokuwa, Nyalandu alisema walipokea taarifa za kusikitisha usiku wa kuamkia jana, saa 6.30 za majangili kuua faru katika eneo la Moru, Kusini mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kwamba askari wa wanyamapori waliokuwa doria ndio waliogundua faru huyo akiwa amepigwa risasi na pembe zake kung’olewa.
Faru huyo ameacha mtoto mwenye umri wa miezi miwili na mpaka taarifa hiyo ilipotolewa, mtoto huyo alikuwa hajulikani alipo. Inaelezwa alipewa jina Mama Serengeti kutokana na kuwa chimbuko na faru wengine 31 `wazalendo’ waliobaki katika Hifadhi ya Serengeti.
Mbali ya faru hao `wazalendo’, hifadhi hiyo pia ina faru wengine wanne kati ya watano ambao waliletwa nchini kwa mradi maalumu uliosimamiwa na Rais Jakaya Kikwete kutoka Afrika Kusini. Faru mmoja kutoka Afrika Kusini aliuawa na majangili Desemba mwaka 2012.
Kwa mujibu wa Naibu Waziri huyo, baada ya kupokea taarifa, Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ilichukua hatua ya dharura kuagiza msako wa majangili katika maeneo yote yanayozunguka hifadhi hizo mbili.
“Serikali inawasaka kwa udi na uvumba raia hao watatu na wananchi wanaombwa kusaidia kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama, sambamba na hatua hiyo, mapema leo (jana), wizara imetuma kikosi maalum (Rapid response team) cha askari 20 wakiwa na silaha na vifaa maalumu ili kuongeza nguvu na kuhakikisha majangili wanapatikana,” alieleza Nyalandu.
Akielezea hatua nyingine zilizochukuliwa katika mapambano dhidi ya ujangili, Nyalandu alisema serikali katika kutekeleza maazimio ya Bunge yaliyotolewa na Kamati ya James Lembeli, Mbunge wa Kahama (CCM), imechukua hatua mahususi ikiwa ni pamoja na kutekeleza agizo la Rais Kikwete la kuundwa kwa Tume ya Kimahakama kuchunguza tuhuma dhidi ya operesheni tokomeza.
Nyalandu alisema baada ya kurekebisha kasoro zilizojitokeza katika operesheni hiyo, serikali itaendesha operesheni nyingine. Lakini wakati ikijiandaa kwa `vita’ nyingine kali dhidi ya majangili, alisema wizara imewasimamisha kazi watumishi 23 wanaokabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo za kula rushwa na kusaidia majangili.
Alisema pamoja na taarifa za kukamatwa kwa meno ya tembo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo tukio lililoripotiwa katika Bandari ya Dar es Salaam mapema mwezi huu, wiki iliyopita, katika Kijiji cha Ugenza, Mufindi, waliwakamata majangili watatu wakazi wa Dar es Salaam wakisafirisha meno ya tembo kilo 37.
Aliwataja waliokamatwa na maeneo wanakoishi kwenye mabano kuwa ni mwanamke mmoja ambaye ni Salome Aloyce (Sinza Madukani), Rajabu Omari (Kigogo) na Kadili Kisanduku (dereva teksi wa Mbezi Louis). Alisema walikuwa na gari aina ya Toyota Corona yenye namba za usajili T580 ABL, mali ya Florian Elias wa Dar es Salaam na walikuwa wanaelekea jijini humo. Sasa wanashikiliwa na Polisi.
Katika kipindi cha miaka mitatu (2008 hadi 2013), meno ya tembo yenye uzito wa kilo 32,987 yalikamatwa ndani na nje ya nchi, jambo lililo ishara ya kukithiri wa ujangili wa wanyama hao nchini.
Mwaka 2010, Tanzania ilipigiwa mstari mwekundu kuwa moja ya nchi iliyoathirika zaidi kwa ujangili na biashara ya meno ya tembo duniani. Idadi ya tembo inaelezwa kupungua nchini kwa kasi ambapo mwaka 2009 kulikuwa na tembo 109,000 lakini kutokana na ujangili, walifikia 70,000 mwaka 2012.
ome »  » TARIME RORYA HALI TETE: MTU AMBAE ANASADIKIWA KUWA NI JAMBAZI AMEKUWA AKIWAUA RAIA .........

TARIME RORYA HALI TETE: MTU AMBAE ANASADIKIWA KUWA NI JAMBAZI AMEKUWA AKIWAUA RAIA .........

Ndugu zangu waandishi wa habari, nimewaiteni hapa kwa dharura, ili kuweza kuwafahamisha hali halisi ya mauaji yaliyotokea katika siku za hivi karibuni katika mkoa wa Kipolisi wa Tarime Rorya. Mnamo tarehe 26
 
Januari, 2014 majira ya saa 12.00 asubuhi huko katika kijiji cha Mogabiri
katika mkoa wa kipolisi Tarime Rorya, jambazi asiyefahamika kwa jina aliwaua kwa risasi Zakaria Mwita Marwa miaka 28 na Erick Lucas Maranya miaka 24 baada ya kukutana nao njiani. 
Siku hiyohiyo, majira
 
ya saa 4:00 usiku, katika kijiji hichohicho cha Mogabiri, jambazi huyo alimuua Robert Kisiri miaka 45 baada ya kuvamia Grocery inayomilikiwa na Chacha Ryoba na kumjeruhi mtu mwingine mmoja. Tarehe 27 Januari, 2014 majira ya 11:30 alfajiri katika kijiji cha Mugabiri, jambazi huyo alifanya mauaji tena kwa kumpiga risasi David Mwasi Matiko miaka 39 na kumpora simu yake aina ya Nokia. Katika tukio hilo, pia, alimjeruhi Machungu Nyamahemba miaka 19 ambaye bado amelazwa katika hospitali ya Tarime kwa Matibabu. 
 
Siku hiyohiyo ya tarehe 27 Januari, 2014 majira ya saa 2:00 usiku katika kijiji cha Nkende, jambazi huyo alimuua kwa kumpiga risasi Juma Marwa Nyaitara miaka 30. Baada ya kufanya mauaji hayo, jambazi huyo aliwapora simu zao za mkononi Chacha Magige na Masero Marigiri wote wa kijiji cha Nkende. Usiku wa kuamkia tarehe 28 Januari, 2014, jambazi huyo aliendelea kuua watu wengine watatu ambao bado majina yao hayajafahamika. Mtu mmoja alipigwa risasi wakati akiendesha pikipiki
 
katika kijiji cha Nkende na wengine wawili waliuawa baada ya kukutwa na jambazi huyo wakiwa wanatengeneza gari lililokuwa limewaharibikia katika kijiji cha Mogabiri.
 

Hadi sasa juhudi kubwa za kumsaka jambazi huyo zinaendelea kufanyika na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi.  Aidha, mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernesti Mangu, ametuma timu maalum kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi inayohusisha kamisheni ya Oparesheni, Upelelezi na Intelijensia kwenda kuongeza nguvu katika juhudi zinazofanyika na ngazi ya mkoa kuhakikisha kwamba, jambazi huyo anakamatwa upesi ili kuondoa hofu kwa
 
wananchi.
 
Jeshi la Polisi nchini, linatoa wito kwa wananchi wote kutoa ushirikiano ili jambazi huyo aweze kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria haraka. Mwananchi mwenye taarifa za mhalifu huyo anaweza kutumia namba ya simu ifuatayo 0754 785557.


MANENO YA MREMBO HUYU: MPENZI WANGU ANANISALITI KWA WANAWAKE WEMBAMBA NA MIMI NI MNENE SIJUI ALINITAKIA NINI KWANI HAKUNIONA HAPO MWANZO? NAOMBENI USHAURI

MIMI ni msichana mwenye umri wa miaka 23 naitwa Samantha wengi hunitania na kuniita Bonge, elimu yangu sio mbaya sana na nimtoto wa familia yenye maisha mazuri kias fulani,

Nimekuwa nikiteswa na mfumo wa mapenzi yetu mimi na mpenzi wangu maana nashangaa tangu tuanze mahusiano nimemfumania zaidi ya mara 4 na
mimi bado nampenda jamani kibaya zaidi wanawake wote naomnasa nao ni wembamba kama njiti, Sasa sielewi kama alikuwa anapenda wanawake wembamba kwanini anitongoze? Alafu ukizingatia huyo mpenzi wangu ni mwembamba mrefu inamaana haoni kama tunaendana?..

Na mimi natongozwa sana na mkaka mmoja hivi tupo nae kazini kwangu nafanya nae kazi ofisi moja yeye ni mesenja Sijui nimkubalie ili ngoma iwe droo? Naombeni ushauri jamani maana Admin amaniambia niwaombe nyinyi ushauri yeye hana la kusema.




AIBU: MREMBO MMOJA AVULIWA NGUO NA KUPEWA KIPIGO KWA KOSA LA WIZI WA SIMU.........

MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya mwanaume na kuificha sehemu zake za siri.


Mrembo akiwa chini baada ya kuchezea kichapo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, awali mrembo huyo alikuwa akila bata na mwanaume aitwaye Hashim kwenye Baa ya Jassun Inn iliyopo maeneo ya Mabibo huku mwanaume huyo akiwa ametandaza simu zake za kisasa juu ya meza.

Imedaiwa kuwa wakati wakiendelea kuponda raha, Hashim alikwenda msalani kwa lengo la kujisaidia na kuacha simu zake mezani, aliporudi hakumkuta mrembo aliyekuwa akiponda naye raha na simu yake moja haikuwepo.

...Akiwa amewekwa mtu kati na wananchi.
“Jasho lilimtoka Hashim na kuwauliza watu waliokaa jirani alikoelekea mrembo huyo,” alisema shuhuda mmojawapo wa tukio hilo na kubainisha kwamba msamaria mwema mmoja alimweleza Hashim mwelekeo wa mrembo huyo.

Bila kuchelewa Hashim aliwakusanya wapambe wake na kuanza kumtafuta mrembo huyo na wakamnasa mita kama 150 kutoka Baa ya Jassun na kumuuliza kuhusu simu iliyokuwa mezani lakini alileta ubishi.

Walijitahidi sana kumbembeleza ili aitoe simu kwa hiyari yake lakini alikataa, ndipo Hashim na wapambe wakamwanzishia songombingo la nguvu na kufikia kumvua nguo hadharani na simu ikakutwa kwenye nguo yake ya ndani,” shuhuda wetu alisema.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kwamba, hadi kufikia kupatikana kwa simu hiyo, mrembo huyo alikuwa hoi kutokana na vurugu aliyofanyiwa na wapambe wa Hashim ambao walipoipata simu walimvisha nguo pamoja na wigi lake lililokuwa limemvuka.

Jumanne, 28 Januari 2014

                    Watoto wazuri walioumbika wakifany kitendo cha usagaji kama vile hakuna wanaume jamani njooni hata kwangu mbona mnanifaa nyie mhh embu wazumu kama unawajua waambie waacha mabo ya ajabu
                     PENNY AFUNGUKA NA KUSEMA DIAMONDI KAMA CHIZICHIZI.
Mtangazaji wa channel ten azungumzia
sifa za mume wake na kusema huwa kama chichizi na huwa na mapepe muda wote lakinini mtu makini sana afunguka na kusema diamond anajua kulea,kubembeleza
                             EXLUSIVE DIAMONDI AFUNGUKA UKWELI KUHUSU PENNY

         Hivi ndivyo ambavyo nguvu kazi inapotea kutokana na utumiaji wa madawa ya kulevya  kama nchi yetu ina ulinzi wa kutosha  haya madawa yanapita vip?hapa ndipo napata jibu kwamba bado kunakukukithiri kwa rushwa, japokuwa takukuru wapo na watu wamepewa vitengo takukuru,pili hakuna ujamaa bali kuna ubepari na ubeberu na ndio hivi sasa pesa ipo juu ya sheria.Basi kwa kuwa wote akili ni moja mmmh ni hayo tu tuingalie nchi ikipotea chini ya wahuni waliokataliwa mwanzoni.
jambazi laua watu nane mara {mkoa wa polisi rolya} haya tena Kova vipi baba ujambazi tumeshindwa kuuishinda kama ulivyosema tuungane kuushinda ujambazi,hii inaleta wasiwasi kama wameanza kuuwa ma askali na wakati mtanzania wa mwanzo hakuwa hivyo.Alikuwa na uwaga debe mbele ya viombo vya dora.Kova all eyes on you  




 JAMANI TUMUOGOPE MUNGU HUYU NI BINADAMU KAMA WEWE?YAANI KAMA DHAMBI ZINAZUNGUKA KAMA FENI KUNA WATU ZAO ZINAZUNGUKA KAMA PROPELA YA GARI,TAZAMA HIZO PICHA ZA WALEMAVU WA NGOZI.
                                        AYOOOOOO MASHOGA YANAOANA HAYANA HATA AIBU KHAA
                                                 CHEKI MAJITU NYENYE LAANA HAYO HAPO JUU

                                     
 BIG UP KITAA MITINDO HURU MNAFANYA POA XANA MA NEWS MANINI DAH POA MY NAME IS KICK GONA

                                                                   R.I.P NELSON WEWE NDO JEMBE LA MWISHO ULIKUWA UMEBAKI AFRICA,OK LETS SAY BYE COUSE THIS WORLD IS NOT OUR HOME
 OMMY DIMPOZ AACHIA NGOMA MPYA IITWAYO MISS KOIKOI.HIVYO NI TYME YAKO WE MDAU KUJUA DIMPOZ KARUDI VIPI TENA?AKOSEAGI HUYO
                                        MSANII WA BONGO MUVI AFARIKI DUNIA
Ni victor peter akutwa  guest akiwa amejinyonga katika guest inaitwa SAFARI JURNIO ilioko maeneo ya kisosora hapa picha unaiona ni katika harakati za kuupakia mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali mkoani tanga.habari za kustajabisha eti ya kwamba walikuwa wamemaliza kushuti filamu jana yeye akiwa kama muhusika mkuu na filamu ilimalizika kwa marehemu kufa kwa kujinyonga na ndivyo ilivyokuja kutokea kweli.kumbe tunaonaga kifo eeh.

Jumatatu, 27 Januari 2014

                







WAZIRI WA FEDHA WA SERIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA SAADA KAMUYA ASEMA LAIVU SERIKALI HAINA PESA.
                  Hii haituingii hakilini mnavyotuambia serikali haina fedha wakati kuna wabunge wanajenga mahoteli mapya kila siku.Muwe na huruma jamani maisha ni magumu sana kwa mtanzania wa kawaida pesa ngumu,vitu vinapanda bei hivi tunaenda wapi jamani.Kwa mwendo huu naiyona Tanzania miaka ya mbele itavyokuwa hatari kwa sababu hata mwalimu J.K Nyerere alisema watanzania wakanyageni lakini watakapojua kwamba mnawakanyaga itakuwa balaa na ndio kitu kinaachoenda kutokea katika nchi yetu.Aya bana mi sina mengi ni hayo 2.
                 DK SLAA AWASHA MOTO MAKAMBAKO MKOANI IRINGA.
Hii nikuonesha kwamba kampeni za chadema zinaanza kwa kasi kubwa san kutokana na mwitikio mkubwa wa watu mkoani iringa.Slaa akubalika sana makambako kutokana na sela zake alizozitoa siku hiyo.Hivi sasa chama cha demokrasia na maendelea kimeanza kampeni zake nyanda za juu kusini wakizunguka na helkopta ili kwenda sawa na muda na kuingia hata vijijini vya ndani kabisa na kutangaza sera zao.halaaaaaaaaa ni hayo 2.

DIAMOND




                               AHAAA NA NDIO MAANA KWENYE KIGOMA ALL STAR ALI KIBA  HAKUWEPO.

Wasanii wa bongo fleva Nasibu Abduli na Ali kiba wagombana vibaya mno eti kisa ni nani zaidi ya mwenzake katika hii tasnia ya muziki wa kizazi kipya.Hii ni baada ya Ali kiba kuongea twitter kwa hawezi kufanya kazi na msanii mbovu kam diamond.Diamond akajibu kwa kusema ali kiba amekwisha hivi sasa na watu wamemchoka hii ni tym yangu diamond watuache tulale hayo ndio maneno ambayo diamond aliyasema kumjibu Ali kiba.mh hawa watu bana vituko kweli ngoja tuone wataishia wapi na hili bifu lao.halaaaaaa ni hayo 2 
HIVI NDIVYO ILVYOKUWA KATIKA KUMUAGA MUIGZAJI WA ISIDINGO LETTIE MATABANE.
Muigizaji wa isidingo lettie matabane afariki dunia na kuagwa na maelfu ya watu nchini south Africa.Hii inaonyesha ni jinsi gani wenzetu wanathamini waigizaji wao.R.I.P Lettie Matabane.

                                           PICHA ZA UTUPU ZAMPONZA DAVIDO
Embu muangalie vizuri huyu mrembo siyo dada yetu fulani.Haya ndio mambo aliyofanya davido bongo hizi picha za mletea matatizo na nusura kuvunjika kwa ndoa yake.Huu sio ujanja hata kidogo mabo ya kuiga wenzenu washa kontroo magonjwa mengi sas nyie igeni mufe cheki domo kama amemeza kiazi cha moto.halaaaaaaaa ni hayo 2.
                                 HII NI KWAMBA WANAUME WAMEISHA AU VIPI.
Wanafunzi wa chuo kikuu fulani siwezi kukitaja kwa sasa wamekutwa laivu wakifanya kitendo cha usagaji na wachukua picha wetu jana hasubuhi.Hii inasikitisha sana kama wasomi wanabidi waikomboe jamii lakini wao ndio wanaharibu jamii yetu.Je tufanyeje Jamani hii inazidi tucheki kwenye blogu yetu kwa maoni zaidi.halaaaaaaa
            MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI AKISHAMBULIA JUKWAA.
VIDEO YA SNURA NIMEVURUGWA YAPIGWA STOP KURUSHWA KATIKA VITUO VYA TELEVISHENI BONGO.
Baraza la sanaa  la Taifa lakataza video ya mwana dada Snura kurushwa katika vituo vya televisheni tanzania kutokana na maadili ya video hiyo.Mwanadada Snura ashangaa na kusema haoni sababu ya kukataliwa kurushwa kwa video yake.iiiiiiii ni noma ngoja tuendelee kumfuatilia Snura tuone kama atabilisha video au lah.halaaaaaaaa
MWANAMUZIKI KING DEREK AACHIA NGOMA MPYA IITWAYO NILIKUPENDA SANA.
      Ni nyimbo inayohusu historia ya kweli ya kimapenzi ya king derek,amewashirikisha wasanii wawili kutoka pande za landline production ambao ni mgoma kufa na denno.Hivi sasa yupo njiani kuanza kufanya video ya wimbo huo chini ya landlineproduction.halaaaaaaaaaaaa
Mwana mama Kida wadhili wa jazz band atangaza kurudi tena kwenye muziki sasa.

             Ni leo  tar 27 jan 2014 katika viwanja vya basata jijini dar es salaam mwana mama huyo ambaya pia alikuwa mke wa mwanamuziki maarufu sana tanzania nchini tanzania bwana Ahmed maneti ambaye kashatangulia mbele za haki mungu tunakuomba mlaze pema peponi.Mwana mama Kida wadhili alitoa historia yake leo iliyomfanya atoe machozi kutokana na uchungu.Mwana dada huyo asimulia kwamba alishatengwa na waimbaji wenzake kwa kusemekana kwamba ana virusi vya ukimwi na hata kuthubutu kukataliwa kupanda jukwaani pale jazz band walipokuwa wakipafomu,hii hali ilimpelekea kupata magonjwa kama presha ya kushuka na nusura kupoteza maisha kabisa.leo ameongea mengi sana ukiwepo ugeni wa watu kama Afisa utamaduni Mwingereza kutoka basata,immanueli Nyoni kutoka Udom na wageni wengineo wengi,leo mwana mama aliweza kuwaburudisha wapenzi wake kwa nyimbo kama mazoea,maneno ya mawifi na nyinginezo nyingi.