Jumatatu, 10 Februari 2014

MUME WA MTU NI SUMU….BINTI AFUMANIWA NA MUME WA MTU NA KUPEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU

4

Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.

Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzesei.

PAPARAZI , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.


Shuhudia  picha  hapo  chini
6 5 2 1

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
BOFYA HAPA KUTEMBELEA WEBSITE YETU YA VIJANA!!>>

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

 3 
  0 
 
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.
 


Read more: http://www.mambomsetonews.com/2014/02/mume-wa-mtu-ni-sumubinti-afumaniwa-na.html#ixzz2swkjgO6Q

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni