Jumatano, 13 Agosti 2014

Ni kipindi ambacho kitakuwa kinaonekana hapahapa kitaa mitindo mitindo huru blogs

Jumanne, 12 Agosti 2014

 Skenke da mc this week ndani ya kwe2kwanza katika uzinduzi wa t-shirt zenye logo ya kwe2 kwanzaambazo zinapatikana ubungo maziwa kwa brother Mutu sh 15,000/=tu jipatie mzigo wako then twende sawa


                                 Ma Emcee wa kwetu kwanza katika picha ya pamoja
                                                                  Wana kwetu kwanza
Skenke da mc ndani kwetu kwanza
Dark master advertising Kwe2 kwanza logo on sibuka tv